maisha baada ya kuachana

  1. Moto wa volcano

    Hivi inakuaje mwanamke mmeachana halafu hataki akuone upo na mtu mwengine?

    Kwanza nimegundua hakuna watu wanaokufwatilia kama ma X wako . Mwanamke anaweza akawa yeye ndio kataka mvunje mahusiano halafu ikitokea ameona umevuta chombo kipya anapata homa na maneno mengi utayasikia kutoka kwa watu wake wa karibu
Back
Top Bottom