maisha baada ya kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi inakuaje mwanamke mmeachana halafu hataki akuone upo na mtu mwengine?

    Kwanza nimegundua hakuna watu wanaokufwatilia kama ma X wako . Mwanamke anaweza akawa yeye ndio kataka mvunje mahusiano halafu ikitokea ameona umevuta chombo kipya anapata homa na maneno mengi utayasikia kutoka kwa watu wake wa karibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…