Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira.
Vitu hivyo ni kama...
Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu
Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala.
Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya...
Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za...
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira:
1. Wanawake wa huku ni...
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari.
Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
Tumeshuhudia kundi kubwa la wastaafu kuishi maisha magumu baada ya kustaafu hii husababishwa na mambo kadhaa miongoni mwa mambo yafuatayo
Kutojiandaa kustaafu
Wafanyajazi wengi huwa hawajiandai kustaafu na wamekuwa wakiishi maisha kama watakuwa waajiriwa maisha yao yote hali inayopelekea...
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.
Kwa kweli wakati...
Mimi naanza.
•Alaaniwe kiongozi aliyeuza nyumba za serikali kwasababu yoyote ile. Nyumba zile ni za watumishi wa kawaida, wakaziuza kisha watumishi wakaanza kuishi kifukara lakini wao wenyewe waliishi nyumba za bure. Watumishi kutokana na vipato vyao hawawezi kupata viwanja vya milioni 30 hivyo...
Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha Tanzania ni marahisi sana na pesa zipo nyingi aisee.
Hamna nchi naipenda kama tanzania yaani Ina amani pesa kibao na wananchi wanaishi vizuri huwa nashangaa watu mitandaoni...
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana
Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500
Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500...
Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa.
Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza utakula nini, utalipaje Kodi ama utavaa Nini na kwa bahati mbaya ukipata pesa kidogo unazotumia ili...
Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua.
Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini...
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati...
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
UPDATES:
Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.