Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa.
(Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story)
Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote.
Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu.
Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
Maisha yanazidi kunichachia kila kukicha, nimetafuta sana kazi bila mafanikio yoyote mpaka ninahisi nimerogwa.
Mtaani thamani yangu imeshuka mno maaana nilipiga hatua kidogo ya kielimu ila nikakosa mtu wa kuniendeleza baada ya kufiwa na mama (baba yupo ila ni baba jina) hivyo nikakata tamaa ya...
habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha..
Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu..
naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia
heri ya mwaka mpya
Habari wakuu.
Naimani tumeamka salama na kila mmoja yupo kwenye majukumu yake.
Kama kichwa kinavyojieleza. Watanzania wengi haswa walikua wamezoea utafutaji kwa njia ya janja janja wamekua wakiilaumu serikali kuwa maisha magumu.
Wazee nawashauri tu kama mta panic ni dalili kuwa mmenielewa...
Kuna watu wanapitia maisha magumu mno wakiwa watoto wadogo kisa hiki cha Mchungaji Moses Magembe wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Majumba sita, Ukonga, Dar es salaam kitakuliza machozi .Je kuna aliyepitia maisha magumu kumshinda huyu? tupe kisa chako
Msikilize mwenyewe akijieleza...
Wengine hawafikirii hili suala. Leo tunaamka tu asubuhi Chadema haipo. Mnadhani tutaanza kuishi vipi? Buku 7 tutazipata kweli kwa kumshambulia mrema?ambaye tayari ana mashambulizi toka ndani yake mwenyewe?
Tuacheni ujinga ndugu zanguni.kweli tunaweza pata hata buku 3 kwa kumshambulia...
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa
Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila...
Hili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu...
Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa..
Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari nje na kubana matumizi ya serikali.Nadhani ilikuwa lengo ni kuimarisha maisha ya wananchi na kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.