Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...