maisha nje ya cheo

  1. Valencia_UPV

    Maisha baada ya Uwaziri (Cheo) yanafananaje?

    Waandishi wa habari nchini mbona mmekosa ubunifu wa kuwapa wasikilizaji/ watazamaji/ wasomaji habari za maisha ya Mawaziri wa Zamani (waliostaafu/ kutumbuliwa) kwamba maisha kwa sasa yapoje? Mnaweza kuanza na hawa wa Karibuni.
Back
Top Bottom