Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini.
Kwanza salamu kwako mkuu, wale wana dalisalama watumishi wa umma na wengineo najua imekua...