maisha ya kawaida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa au maisha ya kawaida watu wa hivi ni wa kuogopa kama Ukoma

    Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia lile kundi alilotoka ni wa kuogopa kama ukoma. Mtu kama huyu anaweza kuwa anacheka na wewe kama mamba...
  2. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Mambo madogo madogo yanayoonesha mtu ni wa kuaminika – lakini wengi hatuyapi umuhimu

    — Utafiti wa Kifalsafa Juu ya Ishara Ndogo Zinazobeba Uaminifu Mkubwa Katika maisha ya kila siku ya Mtanzania wa kawaida—anayeamka alfajiri kuwahi daladala, anayepambana na ugumu wa maisha bila kulalamika, anayejifunza kusamehe bila kupewa pole—kuna jambo moja ambalo bado linabaki kuwa fumbo...
Back
Top Bottom