Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains
Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu
unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo
Sehemu unayoishi umepanga
hujaoa - umekuwa play boy sugu
Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu
Huna Nyumba wala...