Tunaomba maafisa magereza wamuwezeshe kukimalizia hiki kitabu kabla jamaa hajanyongwa.
Pia soma > Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!
Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana...
Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi, kuna cha ziada zaidi".
Atleast mama zetu walipata mawazo haya ila walijipiga kofi ili...
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha kubwa, hasa unapokuwa na kipato cha chini.
Kipato kidogo kimekuwa chanzo cha migogoro isiyoisha...
Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.
Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵
Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao.
Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua...
Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.
Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku?
Au kuko na shida mahali?
Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha utume wake." Umri huu wa miaka 30 unahusishwa na kipindi cha ukomavu na utayari wa kutimiza dhamira kuu...
Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa...
Salaam jamiiforum hope my wazima.
Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza vita na uhasama
Leo niongelee hii kadhia ya wazazi kuhisi wana haki Kula matunda ya kijana wao...
Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine.
Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda...
Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya...
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu.
Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa.
Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
Kama mnavojua binadamu tumetofautiana uwezo wa utambuzi na uwezo wa akili.ndo maana wengine wanasahau sahau unakuta amekaa sehemu kainuka kaacha simu anafika mbele anashtuka kama kasahau simu anarudi kuitafuta..Ila kuna hao wengine ikiwemo mimi labda tu niwe nimelewa ila nikiwa sijanywa niko...
Sehemu YA kwanza
*(Uandishi wangu si mzuri sana)
Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume.
Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k.
Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
Jana nilikuwa napiga story na mama yangu mzazi. Katikati ya mazungumzo yetu, aliniambia kwamba laiti kama yeye angekuwa mwanaume, basi asingeoa. Badala yake, angezaa tu na wanawake tofauti ili apate watoto na maisha yaendelee. Bi mkubwa wangu huyu yupo kwenye miaka 65 sasa.
Ninachoamini mimi ni...
UTANGULIZI.
Maisha ya ndoa takatifu yanamaanisha maisha ya ndoa ambayo yanafuata na kuheshimu misingi ya dini, imani, na maadili ya kiroho.
Mwanza tuangazie mambo kadhaa muhimu:
1.Uaminifu. Wanandoa wanapaswa kuwa waaminifu kwa kila mmoja katika kila hali. Uaminifu hujenga imani na heshima kati...
Wapendwa,
Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa.
Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo.
Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.