maisha ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Maisha ya ndoa

    Hellow Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni mwanaume kutokana a jamii ilivyo mshape na kuonekana kuwa ndio final say au mtoaji maamuzi kwenye...
  2. Ester505

    Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

    Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda). Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali...
  3. Mshana Jr

    Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  4. Mshana Jr

    Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Good morning Tanganyika! Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi nathubutu kusema iko humu JF, sasa kitu kinapotrend sana Jamii forums ni lazima upate picha ya...
  5. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi? Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
  6. K

    Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  7. 44mg44

    Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

    Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe 1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia 2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi 3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla...
  8. Carleen

    Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

    Hi guys, Hope mmekuwa na mapumziko poa, Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari. Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then? This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto...
  9. Melki Wamatukio

    Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

    Habari wanajamvi, Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus! Thate plus ni mwanamke wa aina gani? Mwanamke kuanzia miaka thelathini na kuendelea, ingawa wanaume wengi huwahesabia...
  10. F

    Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana.

    Kuna mshikaji wetu mmoja alimlaza mkewe ndani kwa makosa ya kijinga kijinga tu ya maisha ya ndoa... kesho yake tukaenda kumsalimia shemeji yetu tukamkuta pale nje kituoni so tukatoka naye tukaenda kupata supu jirani na kituo cha police. Kwenye supu akatuambia sasa nawapa salaam, mpigieni simu...
  11. Equation x

    Maisha ya ndoa ni kusaidiana

    Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale wanaotamani ndoa, inabidi kujuwa wajibu wao kabla ya kuingia kwenye ndoa husika.
  12. The Garang

    Ugumu wa maisha ya ndoa

    Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal. Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili...
  13. Redpanther

    Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
Back
Top Bottom