Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu.
Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu.
Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Wana JF.
Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori.
Kwanini mchwa ndio chanzo...
Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007.
Zaidi, soma...
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi.
Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali.
Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki.
Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri!
Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake!
Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi,
Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa?
Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za...
Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria?
Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
Kiukweli nilibahatika kutembelea jumla ya plants za madini 9, tatu kahama Shinyanga na 6 wiliya ya Bukombe Geita. Nilichokiona na kukishuhudia kwenye plants hizo ni cha kuhuzunisha na kusitikisha sana haswa kuhusu afya za watu walioajiriwa kwenye hizo plants na wanaoishi kuzunguka hizo plants...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.