maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  2. M

    Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
  3. USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

    Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
  4. Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  5. Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  6. Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  7. Ukipewa nafasi ya kujua jambo 1 tu kuhusu Maisha yako ambalo bado halijatokea, utatamani kujua nini?

    Mimi nitatamani kujua Maisha yangu nitaishi mpaka kufikia Miaka mingapi ili nikimbize Malengo yangu kwa speed 360. Hata kama sitaweza kufanikisha yote nitakayo basi angalau nifike level nzuri ya Wanangu kuendeleza maono niliyonayo Wewe utatamani kujua nini?
  8. Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  9. Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  10. Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  11. Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  12. Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
  13. TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
  14. As Man unataka kuwa na furaha 2025 na kipindi chote cha maisha yako kilichobaki basi code ni hizi

    Code ni simple tu Love yourself first afu mengine yafuate. 1. Kula vizuri 2. Vaa vizuri 3. Fanya mazoezi 4. Tafuta pesa
  15. Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  16. Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  17. Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  18. Maswali kumi ya kujiuliza na Kutafakari ukiwa hujui ufanye nini na maisha yako

    1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi? Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani? 2.Ndoto zako za utotoni zilikuwa zipi? Binafsi utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi, ila kila...
  19. Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
  20. Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…