Wadau Eid Mubarak
Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli.....
Sasa basi ni...
James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita.
Jamila alijifungua mtoto wa kike mzuri na kumpa jina Aisha. James alitoka shuleni anamkuta Jamila na mtoto, alipenda...
Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha.
Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa.
1: Ukosefu wa Maarifa sahihi.
2: Kulogwa,laana au majini.
3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa:
Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim."
Kiongozi wa...
Wanadamu tumeumbwa na Mwenyezi Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa. Kwa namna ya kinyongeza nyongeza Ili kukamilisha maana aliyoikusudia.
Akaumba hivi aka umba vile akaumba nyangumi then ukaumbwa mimi na wewe, tena Kwa kutulia kabisa Kwa mfano wake. Adam na Hawa. bustanini Eden tunda la mti wa...
Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana...
Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa.
Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.