Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo.
je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
Kulala: miaka 26
Kazi: miaka 12
Kuangalia TV: miaka 8.8
Ununuzi: miaka 8.5
Kula na kunywa: miaka 3.6
Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2
Mitandao ya kijamii: miaka 3
Mikutano: miaka 2
Utayarishaji: miaka 1.5
Kusafiri: miaka 1.5
Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25
Mazoezi: miaka 1.2
Katika baa na...
Amani iwe na nanyi!
Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi.
Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ".
Niongezee...
NAKUSHAURI
Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo.
Ngoja nikufundishe kitu.
Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
UTANGULIZI
Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha.
Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
Habari Wakuu,
Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine.
Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo.
Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama...
Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.
Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO.
Sababu.
1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda.
(Ndivyo YALIVYO)
2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu.
(Ndivyo YALIVYO)
3. Marafiki wengi wanamatatizo...
Vipi?
Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa
Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza...
Niko Mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
UKIZAA NA MUME WA MTU, JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKO MWENYEWE!
Anaandika, Robert Heriel
Unajizima Data sio!
Ati ooh! Alinidanganya Hana MKE, ooh! Sikujua kama kaoa. Wanaume ni Umbwa Koko!
Kama alikuambia Hana MKE si ungemuambia Ukoe wewe sasa ili uwe Mke wake. Mwambie apeleke posa nyumbani...
Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.
Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.
Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni...
Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku.
Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu.
Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na...
Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja.
Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa chini:
Sijafanikiwa kuwa na kazi maalum ya kuniingizia kipato, kwa hiyo sina kazi kwa sasa japo...
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
Biashara yenyewe
Blog yake
Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela.
Mfano:-
We ni mkulima wa mboga mboga
Anzisha youtube, kuhusu...
Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa.
Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza.
Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri.
Swali linakuja je nitajuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.