Hivi ndivyo vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako.
Kwa kawaida binadamu tumepewa saa 24 tu kwa siku. Huu ni muda ambao kila binadamu amepewa kuutumia kwa kadri anavyotaka. Kwa wale wanaotumia muda huu vizuri wa saa 24 kwa siku matokeo makubwa ya maisha yao huonekana, lakini kwa...
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu.
1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
Kuna watu wako maalum KUUA NDOTO YAKO(Dream killer) , Ni aina ya watu wabaya ambao kazi yao ni kuhakikisha wewe hufanyi kitu na hufanikiwi kutimiza ndoto yako.
-
Ni watu gani?
-
1.Mtu mwenye imani ndogo.
Huyu ni mtu anaamini katika udogo, haamini kama unaweza kuwa na biashara kubwa, haamini kama...
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku.
Inawezekana una...
MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO
Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi “Mitindo yetu ya maisha na mchango wake katika afya zetu”
UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
Habari wakuu
Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto.
Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.
Facebook
Twitter
iPhone📱
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb...
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10).
Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania
Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote.
Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO.
Anaandika, Robert Heriel.
Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO!
Anaandika, Robert Heriel.
Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao.
Andiko hili ni Kwa watu wote.
Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants].
.
Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana.
Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana.
Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.