bahari
bahari ya hindi
karibu
katika
kuchukua
kuwepo
kwani
maafa
maishamaishayetu
mwanzo
ofisi
raha
roho
tahadhari
tangazo
tma
volcano
wananchi
watumiaji
waziri mkuu
Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu
Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku,
Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri...
Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike.
Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa;
"Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
Wasalaam!.
Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini.
Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
Kwa akili au ufahamu wa haraka haraka ukisikia neno makelele unapata uelewa wa kusikia sauti na mirindimo mbali mbali ambayo huweza kuleta kelele, huenda ikawa sauti kubwa ya mashine viwandani au kelele za mziki nakadhalika.
Lakini kuna kelele nyingine ambazo huenda wengi wetu hatuzijui, nazo...
Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali.
Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini kwenye mioyo yetu kwa ndani huwa tunamaanisha.
kwenye kuomba tu msaada Kuna kaujeri kidogo...
Aliposema nitakuja kama mwivi, hakika anamekuja kama mwizi. Yaani sasa hivi huwezi jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri gani. Tunaishi tu, ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Yaani sasa hivi kifo ni muda wowote, popote na kwa vyovyote.
Tumuombe Mungu atupe mwisho...
Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako.
Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA
PROFESSIONAL: IT specialist
-Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa.
Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani.
Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
Leo 12:15hrs 19/06/2022
Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
Pili Mwinyi
Suala la matumizi mabaya ya mazingira pamoja na uharibifu wake, kwa muda mrefu limekuwa likileta madhara makubwa na ya kudumu kwa maisha ya binaadamu. Wahenga wanasema “Kamwe hatutakuwa na jamii ya binadamu kwenye uso wa dunia, kama tutaharibu mazingira”.
Ni hivi majuzi tu dunia...
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .
Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka
Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu
they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
Habari zenu wakuu.
Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.
Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
Karne ya 1= kanisa la mitume, ikielezewa sana na kitabu cha Matendo ya mitume. Huku warumi wakitawala
Karne ya 2-3= kanisa la mateso, himaya ya Roma ikilitesa kanisa
Karne ya 4= mfalme wa Roma anakuwa Mkristo, Romans hawakukubali kupoteza kila kitu, wanaingiza ibada zao pia kama mishumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.