maisha

  1. sergio 5

    Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

    Habari za mda huu wakuu Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL) Nikakubari...
  2. T

    Hivi, kati ya Katavi na Morogoro, ni sehemu gani nzuri ya kuishi na kutoboa maisha?

    Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
  3. B

    Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

    Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
  4. Edsheraan

    Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  5. Eli Cohen

    Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

    Wengi wanakuwaga bums/bust Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake...
  6. Last_Joker

    Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  7. Mwislam by choice

    Zanzibar

    Habari za kuamka wakuu Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar. Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo yananishangaza kuhusu wazanzibar na nchi yao! 1.Gharama za maisha Kama mnavyo jua zanzibar ni mji wa...
  8. Rorscharch

    Hoja za Msingi Juu ya Uhalalishaji wa Matumizi ya Bangi: Mtazamo wa Mdau wa Maisha

    Tangu mwaka 2018, nimekuwa nikitumia bangi kama sehemu ya safari yangu ya kubadilisha maisha. Nilipoamua kuacha pombe, ilikuwa uamuzi mgumu lakini wa lazima. Kila nilipotazama mustakabali wangu, niliona wazi kuwa ulevi ungeweza kuangamiza malengo yangu. Nilipomaliza masomo yangu Mbeya mwaka...
  9. De Opera

    Faida ya uchangamfu katika maisha

    Habari ya muda huu Wapwa? Natumaini mnaendelea vizuri kabisa, ila kwa wale ambao hamko vizuri kwa namna yoyote Mungu awaongoze mvuke katika hilo. Wapwa, leo nagusia kuhusu uchangamfu katika biashara, mahusiano au sehemu zingine. Kabla sijaendelea nikuulize, hivi ulishawahi kukaa, kuhudumiwa...
  10. O

    USIKUBALI KILA USHAULI KWA MAISHA YA UTAFUTAJI

    WATU WENGI WAMEFERI MAISHA KWA KUSIKILIZA USHAURI WA WALIOFERI MAISHA KWA KUSOMA HUU UJUMBE MFUPI NI BAHATI KWAKO KAMA UNAHITAJI KUFAULU MAISHA NISIKILIZE MIMI NILIEFAULU MIMI NIMEFANIKIWA KUPITIA FOREX WALE WALIOFERI KWENYE FOREX WANAWEZA KUSHANGAA KIASI NINACHOPATA KILA SIKU SIRI YA...
  11. Last_Joker

    Vijana wanaoponda 'White-Collar' Jobs: Ajira za Ofisini au hujasoma Chuo Kikuu?

    Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
  12. Under-cover

    Nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya Father Christmas

    Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas. Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha...
  13. Kaunara

    Maisha bila Mdada wa kazi

    Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kama mnavyojua maisha yanaenda kasi sana. Utandawaz naweza sema umeenea kila pande ya Dunia na hamna binadamu ambaye anakubali kuwa nyuma au jamii flani inakubali kuwa nyuma. Maisha kabla ya mitandao namaanisha kabla ya mobile phone kuanza miaka...
  14. Mzee wa Code

    Maisha ya Kijiji cha kiboriani ni ya ajabu, huduma zote muhimu ni changamoto kupatikana

    Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
  15. T

    Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa nchi walio serious na maisha eti anainua michezo kwa kununua magoli!

    Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe. Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
  16. G

    Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  17. Melki Wamatukio

    Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
  18. G

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  19. S

    Usiposhiriki ngono unakuwa umeyamudu maisha kwa asilimia 50% unabakiza kupambania 50 kirahisi

    Habari wapendwa! Katika maisha kila kitu kinashortcut! Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut! Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut! Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima nichungulie hatari ya kupita shortcut kama nazimudu au la! Ndiyo maana nina imani iko siku tutapata...
  20. Killing machine

    Yajue Maisha yalivyo jela

    Habari gani wakuu Maisha changa Moto na Katika kuzitatua nikajikuta nimevuka mstari mwekundu na kujikuta nipo police station Baada ya kushindana na wale bwana wazee wa nguo za kaki kwenye maswala ya pasu wakaapa kuni fanyia siyo Nakumbuka mmoja wao akasema Sasa kwasababu wewe ni mtata...
Back
Top Bottom