majaribio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. n00b

    Majaribio yanaendelea

    Asante sana kwa ushirikiano wako. JamiiForums inaendelea na matengenezo na maoni yako ni muhimu sana wakati huu
  2. musicarlito

    Wenzetu(China) wanafanyia majaribio treni ya umeme yenye mwendo wa Km 450/saa...Vipi sisi na nyungo na fisi zetu?

    Nimeikuta habari hii mtandaoni Kwenye Facebook Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi? Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
  3. mdukuzi

    Mchezaji kufanyiwa majaribio,Je,unajua huwa wanajaribiwa nini?,kwanini wachezaji wetu huwa wanafeli majaribio huko nje?

    Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa...
  4. Pfizer

    Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  5. The Watchman

    RUWASA kusambaza mita za maji za pre-paid baada ya majaribio ya mita hizo mkoani Mnyara

    Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo zimeanza kuonesha mafanikio makubwa. Akiongea wakati wa ziara ya ukaguzi wa majaribio ya mita hizo...
  6. B M F ICONIC

    Majaribio Nyumbani kwa Zakayo

    Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho. Ndipo akakutana na mzee zakayo na kukubaliana zoezi la vitambulisho liwe la kidijitali wanakijiji wasiwe wanabeba makaratasi . Pia aka...
  7. incognitoTz

    Elon Musk anataka majaribio ya Starship yafikie 25, mwaka 2025

    Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
  8. snipa

    Ombi langu Kwa serikali kuzuia majaribio yanayofanywa kwenye mwezi na jua

    Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi. Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika. Media hasa za uingereza...
  9. Carlos The Jackal

    Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

    Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya majarabio ya Kizazi hiki Cha ndege vita.
  10. R

    Tanzania Commercial Bank inaendeshwa kama Saccos iliyoko kwenye majaribio

    1. Leo salary advaance/pension advancy /mikopo iko, kesho inaondolewa kesho kutwa inarudishwa! majaribio! You cannot plan anything with this Saccos! 2. Most of the time ATM ni out of order Wapo wapo tu nadhani hawana dira, wanafanya wanalolifikiria leo!
  11. Nehemia Kilave

    Inasikitisha sana kwa vita zinazoendelea baadhi ya Nchi kufanya ndiyo sehemu ya majaribio ya silaha

    Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha . Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
  12. amshapopo

    Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

    Wakuu habari za siku nyingi, Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania. Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo. Sijigambi kwa lolote or Chochote. Dunia ni...
  13. JanguKamaJangu

    Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
  14. GENTAMYCINE

    Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
  15. FRANCIS DA DON

    Majaribio ya Dokta Masaru Emoto juu ya athari za hisia na mawazo katika uhalisia

    Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno kwenye yake maji kwa muda wa siku 30. Baada ya hapo akagandisha yale maji na kupiga picha kwa...
  16. Gemini AI

    Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  17. X

    China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  18. V

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  19. MK254

    Israel yafanya majaribio ya mizinga yenye uwezo wa kupiga kilomita 1,800 KM

    Mwendo wa maandalizi...... Kwa kifupi sasa hivi swali la kujiuliza ni lini yataanza maana ukanda ule unaelekea kuchafuka. Israel conducted a test launch for a missile with a range of up to 1,800 kilometers, (1,118 miles) pro-Kremlin Telegram channel Rybar reported on Thursday. The missile...
  20. H

    SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
Back
Top Bottom