Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo
Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
Kutoa ajira 100 za mwanzo
Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma
Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri.
Hayo yameelezwa...
Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.