Habari wana JF,
Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana.
Zoezi 1
Nilijaribu kuotesha mbegu mbalimbali za machungwa, chenza na limao kupitia machungwa tunayokula na pia...