majaribio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ivory Coast: Serikali yawasimamisha wakaguzi wa majaribio ya udereva Nchini nzima

    Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
  2. Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa...
  3. Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…