maji dar

  1. P

    Waziri Aweso hata ndani ya jiji tuna kero ya maji

    Tunaishi maeneo ya ubungo jirani na daraja la Kijazi kushoto kuelekea buguruni, River side maeneo ya mamia ya wakazi. Maji yanakatika siku mbili Hadi tatu. Dawasa hawatoi taarifa yoyote. Leo tarehe 20/10/2021 siku ya tatu Hakuna maji. Hii hali inajirudia Mara kwa Mara inatutesa...
Back
Top Bottom