Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu,
1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI"
2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI WAMEZOEA MAJI YA MASHIMO?
3: N. K
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo.
Watu...
Anonymous
Thread
bomba
hakuna majimajimajisafi
mwanza
safi
uhuru
wakazi
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo.
Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini .
Hapa chini ni moja ya...
Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia
Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu.
Kikubwa katika uzinduzi...
Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kutoa ufafanuzi juu ya changamoto hii ambayo sasa imegeuka kuwa kero na hadha kubwa kwa wananchi...
Habarini.
Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli.
Aisee maji yananuka, sijui huko kwenu, yaan yananuka bila hata kuyanusa, yanatoa harufu flani ivi kama maji ya bahari, ukiingia...
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na wanyama kwenye Mto Nkana.
Soma Pia: Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MO Dewji, Imran Sherali ambaye ameambatana na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Ighondo Ramadhani na mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Bupe Mwakang’ate jijini ofisi ndogo za Wizara ya Maji DUWASA...
Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote.
Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
Anonymous
Thread
dkt. kigwangalla
jimbo
jimboni
kigwangalla
kijiji
kupata
majimajisafi
nzega
safi
wananchi
wazi
Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi.
Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE
"Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero
"Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
Na.Elimu ya Afya Kwa Umma.
Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu.
Hii ni baada ya...
Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA.
Utangulizi
Kwa muda wa miezi miwili Chama cha ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Maji imekuwa ikipokea changamoto juu ya hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa Mkoa wa...
JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA
Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii?
Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.