maji safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Vijiji Vyote 68 Vina Miradi ya Maji Safi na Salama

    MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32 tayari vinatumia maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria. Usambazaji unaendelea ndani ya vijiji hivyo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mkataba wa Bilioni 4.7 Wasainiwa Kuleta Maji Safi na Salama Kata ya Mugango na Tegeruka Jimbo la Musoma Vijijini

    MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba. Kauli hiyo ya...
  3. The Spirit of Tanzania

    MORUWASA hivi haya ndio maji safi mnayosambaza manispaa ya Morogoro?

    Naambatanisha picha na video. Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Ipi ni akili nzuri: Kutumia trilioni 7 kusambaza maji safi kila nyumba nchi yote au kuweka treni ya mwendokasi Dar mpaka Mwanza?

    Habari! Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma. Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi. Je...
  5. T

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  6. Analogia Malenga

    96.8% ya wakazi wa Dar wanapata maji safi yaliyoko ndani ya mita 500 kutoka walipo

    Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.
  7. Lady Whistledown

    Kibamba - Dar: Maji Safi bado Changamoto, Wananchi watumia Maji ya Madimbwi na Visima

    Kwa Miaka 3 Wakazi wa Kata ya Mpigi Magoe, eneo la Torino-Kibamba wanadaiwa kutumia Maji ya Visima na Madimbwi ambayo si salama kwa Afya zao, licha ya eneo hilo kupimwa Miundombinu ya kupitisha Maji. Mkazi wa eneo hilo, Irene Makea amesema kwa Miaka Mitatu wamekuwa wakijaza fomu lakini...
  8. beth

    Wiki ya Maji Duniani: Upatikanaji wa Maji safi na salama bado ni changamoto kwa mabilioni ya watu

    Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
  9. Going Concern

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani. Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje. Asante
  10. Sky Eclat

    Mafundi hapa mfumo wa maji safi na machafu umepitia wapi?

  11. V

    Tunasafisha matank ya maji safi na salama

    Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi tope na wakati mengine magugu huota Karibuni Trinity cleaner tunatoa huduma ya kusafisha matank ya...
  12. K

    Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
  13. Lycaon pictus

    Hivi nchi hii kuna watu wanapata maji safi na salama?

    Maji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated. Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu...
  14. Mzee Mwanakijiji

    Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  15. Mparee2

    Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  16. Sky Eclat

    Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  17. Nebuchadinezzer

    Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani. Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za...
Back
Top Bottom