Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za...