Ili kukabiliana na Joto kali la Dar es salaam, Mtu mmoja mwema ambaye jina lake linahifadhiwa ili wasimdhuru, amejitokeza kwenye viunga vya Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi akiwa na Fuso lililojaa maji ili kuwapa maji ya kunywa watu wote wanaohudhuria kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman...