Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili.
Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu?
2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura?
2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa.
CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Anonymous
Thread
kagera
kujua
kwani
majibu
malipo
msaada
nani
naomba
vita
vita ya kagera
yangu
"Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi...
Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto
Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana.
Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani
Wasalaam.
Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA,
Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu
Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema...
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao.
Amesema hayo wakati akijibu...
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi…
Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake:
1. Kuhusu Uchumi na...
Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake:
1. Kuhusu Uchumi na...
Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's
Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.