Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo
CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA
ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
Kwema Wakuu!
Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.
Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.
Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi.
Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini .
Ufanyike usajili kwenye...
Ndugu zangu salaam
Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie
Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira.
Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji.
Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango na kutengeneza wizara mpya ya mipango na uwekezaji. Ila hajabu ukienda halmashauri, Manispaa na...
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je...
Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote.
Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI.
Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida.
Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala.
Licha ya kuwa...
Salaam, Shalom!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini Urusi na Kazakhstan.
Kwa zaidi ya miaka 100, hakujawahi Kutokea uharibifu mkubwa kiasi hicho, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.