BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa...
Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali...
Manispaa ya Kahama
Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
Salaam, Shalom!!
Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu.
Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema...
Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani.
Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
TUMSIFU YESU KRISTU.
Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani.
China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
Ni mji mzuri uliozungukwa na miamba. Wanapaita "Rock City". Hilo ndilo jiji la Mwanza.
Nakubali, ni jiji zuri, lakini pangeweza kuwa pazuri zaidi.
Kuna maeneo yaliyopangiliwa vizuri, kwa namna bora na ya kuvutia. Lakini kuna maeneo ambayo yanaashiria Mipango Miji walikuwa likizo pindi...
Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu.
Nimejiuliza swali, hivi viongozi wetu hawatembei kuona majiji ya wenzetu yalivyosheheni barabara nzuri?? Huwezi...
Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi.
Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao.
Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
Miujiza ya Allah ni mingi sana.Moja wapo ni katika huu mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ameujaalia uwe ni ujumbe kwa kila binadamu aliye hai.Si kwa waislamu peke yao ila ni kwa watu wa dini zote.
Tangu siku ya mwanzo mwezi unapoanza masoko hujaa wanunuzi.Tulidhani kwa vile watu wanafunga basi kula...
Ni ushauri na la kuangalia hili mfano Majiji yana viwanda vingi ,masoko makubwa ,maduka makubwa n.k n.k halafu halmashauri za jirani kushindwa hata kujiendesha kwa kukosa vyanzo vya mapato vya uhakika
kwanini asilimia inayopatikana kwenye majiji isigawanywe kwa halmashauri walau kuchangamsha...
bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe.
Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
Jamani kuna halmashauri,majiji pesa za serikali zinapigwa si kitoto,wakubwa nao wapigaji huku chini itakuwaje jamani?
Nimeita halmashauri moja kanda ya kusini nikasajili kikundi cha wakulima ajabu wenzangu walienda mara2 kufatilia cheti na risiti lakini walikuwa wanaambiwa tutawaletea cheti...
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.