Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao.
Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...