PreGE2025 Oliver Semuguruka atoa majiko ya Gesi kwa Wanawake Wajane, Bukoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430
Screenshot 2025-04-22 at 18-43-29 Instagram.png

Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba.

Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba, Mhe. Oliver Semuguruka amesema amewaletea salamu za upendo kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anaendelea kuwa kinara wa mapambano ya kumkomboa mwanamke kutoka kwenye matumizi ya kuni na mkaa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mama Samia ana ajenda madhubuti ya kumtua mama kuni, na kupitia jitihada zake gesi imeendelea kusambazwa kote nchini. Nimeamua kuanza na hawa kina mama hamsini, lakini safari hii bado inaendelea" - Mhe. Oliver Semuguruka

Mhe. Oliver Semuguruka Amehitimisha kwa kuhimiza Watanzania kuendelea kuiombea amani nchi yetu pamoja na kumuombea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuiongoza Tanzania kwa hekima na maono makubwa.

Screenshot 2025-04-22 at 18-43-43 Instagram.png
Screenshot 2025-04-22 at 18-44-10 Instagram.png
Screenshot 2025-04-22 at 18-44-21 Instagram.png
 
Attachments

  • Screenshot 2025-04-22 at 18-43-57 Instagram.png
    Screenshot 2025-04-22 at 18-43-57 Instagram.png
    1.2 MB · Views: 28
  • Screenshot 2025-04-22 at 18-44-42 Instagram.png
    Screenshot 2025-04-22 at 18-44-42 Instagram.png
    912.5 KB · Views: 28

Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba.

Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba, Mhe. Oliver Semuguruka amesema amewaletea salamu za upendo kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anaendelea kuwa kinara wa mapambano ya kumkomboa mwanamke kutoka kwenye matumizi ya kuni na mkaa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mama Samia ana ajenda madhubuti ya kumtua mama kuni, na kupitia jitihada zake gesi imeendelea kusambazwa kote nchini. Nimeamua kuanza na hawa kina mama hamsini, lakini safari hii bado inaendelea" - Mhe. Oliver Semuguruka

Mhe. Oliver Semuguruka Amehitimisha kwa kuhimiza Watanzania kuendelea kuiombea amani nchi yetu pamoja na kumuombea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuiongoza Tanzania kwa hekima na maono makubwa.

Hizi takataka Kwa kipindi hiki sio habari tena ya kutuletea humu, muwe mnakaa nazo huko huko!
 
Hii si ni rushwa ya Uchaguzi ?
 
Back
Top Bottom