majimbo mapya 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Suala la kuongezwa majimbo maana yake ni kwamba CCM wanachowaza ni namna gani wale keki ya Taifa bila papara

    Hello! Kwa idadi ya watu katika majimbo, kwa muundo wa kijiografia na kuibuka kwa wagombea wapya ndio sababu kuu ya kuundwa kwa majimbo mapya. Watanzania wenzangu nawaonea huruma sana. Mimi nanufaika na kodi za Watanzania hata kama kwa kamba fupi niliyonayo. Hiki chama ni hatari kwa ustawi wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…