Wakuu!
Hatima ya wagombea waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa hadharani!
CCM inatarajia kutangaza majina matatu ya wagombea ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata ndani kuanzia leo, baada ya kikao cha Kamati Kuu Julai 19, 2025. Mchujo umehusisha maelfu ya watia nia, huku viongozi wakisisitiza...