majirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  2. Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  3. Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  4. Uchumi wa Tanzania uko inclusive ukilinganisha na majirani zetu

    Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar...
  5. Adhabu ya viboko kwa watoto imefutwa Zambia

    Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema. Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo imepiga marufuku viboko kwa watoto katika mazingira yoyote na pia imepiga marufuku ndoa za watoto chini...
  6. Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  7. Majirani wanao jishtukia na kuvikana tabia zisizo na ukweli

    Tupo mwanzo wa wiki na mwezi nao ndio unayoyoma.. kwa wenye mishahara mwisho wa mwezi vibunda vimekaribia Mwaisa, unyama mwingi, hapa kazi tu, tuendelee kuupiga mwingi In every day, enjoy to the Maximum. Fight to complete 💪🏿 what you plan to do, as early as possible. Niseme mawili matatu.. Kuna...
  8. Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  9. Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  10. Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

    Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....
  11. Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  12. Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

    Mda mwingine unaona njaa itaniua unaamua kugusa gusa (kula) kwa majirani, baada ya hapo masimango ya kuwa "mpaka hapo ulipofikia bila sisi ungekuwa umeshakufa uwe unatushukuru kila kukicha😬" na kadhalika. Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
  13. Majirani, na nyie mna hili tatizo la Wazungu kuhudumiwa vizuri na kunyenyekewa kuzidi natives (white privelege)

    Habari zenu Wakenya Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana. Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
  14. Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  15. Wadau tupunguze bajeti ya pombe, tusaidie ndugu na majirani wasio na uwezo. Hali mtaani ni ngumu sana

    Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight. Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule. Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku. Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi...
  16. U

    Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  17. K

    Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  18. Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

    Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe December 3, 2021 by Global Publishers Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
  19. A

    Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  20. Mataifa maskini yanayozongwa na mikopo. Hivi majirani hizi hela mlizifanyia nini cha kuonekana?

    Mataifa maskini wa kutupwa yanazongwa na mikopo ya Benki kuu ya Dunia (WB), humo nimeona majirani zetu Tanzania hawajaachwa nyuma kama kawaida yao, ikikumbukwa walikua wanajenga kwa hela yao ya ndani, na hicho walikua wanakijenga sijui kiko wapi....hivi ile SGR Dar-Moro ilishaanza kazi? Uganda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…