Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili).
Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.
2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.
3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali...
Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa.
Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya
Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao.
Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home. Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa.
Mwanzo niliona poa ila...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!!
Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.