Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za kuelekea Masaki hupaki.
Chemba hiyo limekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi na wafanyabiashara...