Habari,
Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini
Nitatoa mifano hapa
A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais.
Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
Habari za majukumu?
Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing.
(Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani)
Nahitaji kupata details zifuatazo
1. Jina la kampuni
2. Mahali...
Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria.
DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione clip mtaani? Hata Wananchi anaowasingizia wasipige hata picha? Vijana mnapewa madaraka kwanini...
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya;
1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa.
2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama.
3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati...
Nani anahusika na kutengeneza mambo haya: lengo ni nini?
Mwenye ufahamu wa mambo na elimu ya vitu hawezi kufikiri kwamba "wanawake hawawezi".
Hakuna sababu ya kujadili au kufanya matangazo, mikutano au kuhamasisha kuwa wanawake wanaweza.
Hili liko wazi wanawake wanaweza. Historia inaonyesha...
Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu ameshambuliwa na askari wa vikosi vya SMZ wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi leo asubuhi Jumatano Aprili 21, 2021.
Mikofu amekumbwa na kadhia hiyo baada ya kuwapiga picha askari hao wakati...
1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi.
2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa.
3. Kwenye suala la kuongeza makusanyo ya kodi hakuwa wazo lenye afya au mantiki walilowahi pendekeza zaidi kuiachia...
Habari za wakati huu wapendwa na wanajamvi wenzangu wa MMU. Poleni kwa kazi na kwa wale walioenda kusali hongereni kwa ibada.
Nianze mkasa wangu juu ya huyu Baby mama wangu, Hapa juzi kati (wiki iliyopita) mwanadada aliyedai kuwa anaujauzito wangu na kunikabidhi kulea, alijifungua salama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.