Sensema Wananzengo
Jukwaa lisichukuliwe kama jukwaa la mbao tu - lile la kampeni, jukwaa ni neno lenye uwanda mpana, kuanzia jukwaa la mbao, jamii forum, twitter, redioni, youtube n.k hayo yote ni majukwaa ya kukutana na umma.
Hii sio miongozo rasmi - kwamba sijui nimenukuu kutoka kwenye...