Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
Ndugu zangu salaam
Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie
Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo
Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa miaka hiyo alikuwa akiimba Taarabu
Huyu jamaa alifariki mapema akiwa kwenye ubora wake kama...
Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge
Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha kwake ovyo ni magumu Sana nimpe chance again
wakati anajua tayari nina mke iyo chance nampaje kifupi...
MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA
Na Comrade Ally Maftah
Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto.
1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee.
Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru.
Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini...
Wakuu habari.
Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo.
Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe.
#Wanajamvii ufafanuzi
Habari wana JamiiForums,
Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu!
Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
Habarini za asubuhi wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye
Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili.
Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine.
Tunazodolewa kila...
Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
Heshima yenu wakuu.
Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons".
Nawakaribisha kwenye uzi huu...
Watanzania tumerogwa siyo bule!
Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni mifano tu ya majuto. Ukiona unatumia “nge” sana ujue upo kwenye majuto.
Ni kweli umri unaenda lakini...
Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na nimeumiza sana wanawake.
Kati ya kitu siwezi kusahau katika maisha yangu na namuomba Mungu anisamehe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.