majuto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Kocha Ibenge: Kutoka sare na Yanga ni majuto makubwa

    "Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge. Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa? "Katika uwanja wao wa nyumbani Al-Hilali anamuuliza Fiston Mayele mbona hujatetema leo?"
  2. NetMaster

    Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  3. B

    SoC02 Leo ni kesho ya jana, kesho ni majuto ya leo

    Umeshawahi kukaa chini na kutafakari ni mara ngapi umejikosea kwa kujidanganya kwa kauli “Nitafanya kesho" ! Bila shaka unastahili kujipa adhabu kali ya kutega sikio kwa makini kabisa na kunisikiliza kwa utulivu uliopitiliza maji ya mtungini. “Nitafanya kesho" ni moja kati ya makosa makubwa sana...
  4. A

    SoC02 Majuto ya wahitimu wa vyuo

    Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia. Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo yanayotokana na kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi. Kama ilivyo kwenye maeneo mengine ya kimaisha...
  5. ReTHMI

    SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa kufia nchi yake na sio kuishi kwaajili ya nchi yake (to survive for his/her country). Na je akifa vitani...
  6. BigTall

    Mambo Ya Kuzingatia Unapokuwa Kazini Ili Usije Ukaishi Maisha Ya Majuto

    Wengi tunapokuwa kazini yapo maisha ambayo yanasababisha majuto kwa baadae. Hali hiyo inawatokea wengi sana hasa vijana wanaopata kazi mapema, mwisho wake wanaishia katika majuto. Unachopaswa kujua au kuelewa, upo msingi wa maisha unatakiwa kuishi nao unapokuwa kazini ili baadae usije ukaishi...
  7. laskaboza

    Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kwenye Maisha tunajifunza kutokana na makosa na makosa yanaleta majuto kabla ya funzo. Aidha ufanye kosa kwa siri au hadharani, ni lazima likugharimu kwa namna moja au nyingine na hivyo kupelekea majuto. Kuna vitu huwezi kuzungumza na watu wanaokufahamu vizuri, kuna vitu vinabaki mioyoni mwetu...
  8. Obugwa Izoba

    Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  9. Aizna

    Mahusiano ya kimapenzi na majuto ya huyu dada mrembo

    VIP
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Kabla hujamkopesha mtu pesa jiulize maswali haya ili usiingie kwenye majuto baadaye.

    Habari! Watu wa zama hizi, wa mjini na vijijini wengi hawana aibu kumkopa mtu. Uvumilivu katika matatizo yanayohitaji pesa haupo. Mtu ukimsimulia mafanikio yako au mipango yako tu umemfungulia mlango wa kukukopa. Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanaokopeshana kienyeji(kindugu na kirafiki)...
  11. PierreLiquid

    Mwanamke ninayeona anafaa kuwa mke hakubaliki mbele za watu, ninayemtilia shaka ndiye naambiwa anafaa

    Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi. Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection. Yupo mmoja yeye kila ninapomuonyesha mbele ya watu wangu wa karibu wanasema huyu ndio sahihi kuwa mke, kwangu...
  12. kedekede

    Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

    Wakuu Salaam, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha. Siku moja aliniambia...
Back
Top Bottom