Kwenye Maisha tunajifunza kutokana na makosa na makosa yanaleta majuto kabla ya funzo.
Aidha ufanye kosa kwa siri au hadharani, ni lazima likugharimu kwa namna moja au nyingine na hivyo kupelekea majuto.
Kuna vitu huwezi kuzungumza na watu wanaokufahamu vizuri, kuna vitu vinabaki mioyoni mwetu...