makadirio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KTK NDOTO YAKO YA UJENZI - FAHAMU MAKADIRIO YA GHARAMA UJENZI WA ILE NYUMBA JENGO LAKO

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress 📲 +255 657 685 268 Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki...
  2. Unahitaji RAMANI ya ujenzi na makadirio?

    Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu KAMA UNAHITAJI. Ramani Hesabu ya ujenzi (BOQ) Garden design Fence na aina zake zote ninatengeneza. Namba : 0621 622 070 Njoo DM tuongee kisha nifanye kazi yako. Ninatengeneza kila aina ya ramani...
  3. Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Nyumba ya 5 bedrooms Master kubwa 1 Self 3 Single 1 Sitting room, dining & kitchen Study room Laundry Public toilet Store Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk. Inaweza gharimu kiasi gani?
  4. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  5. Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  6. G

    SWALI: MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI

    Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi. upana wa frame uwe wa wastani tofali za block bati za kawaida floor ya cement ceiling board ya kawaida Naomba kuwasilisha.
  7. Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  8. Naomba makadirio ya mjengo huu

    Wazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
  9. H

    Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

    Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
  10. Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  11. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  12. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  13. Nahitaji Makadirio ya Vifaa (BoQ) Kwa Ramani hii (Nitakulipa)

    Habari Wakuu, Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza. Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀). Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
  14. Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  15. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  16. Tunakumbushana: Kwa makadirio, ni asilimia 18 tu ya watu Duniani wenye magari!

    Hadi June 2024, approximately Duniani kuna magari 1.5 Billions, na Population ya watu ni 8.1 Billions. Kama atleast ulipata D mbili, simple math itatuambia ni asilimia 18 tu ndio wanamiliki gari moja moja. Au kwa lugha nyingine, gari moja kina uwiano wa watu 5,500 hivi. Kwa Tanzania idadi ya...
  17. Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25
  18. Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye awasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
  19. Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2024/25

    TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25 Upandishaji Vyeo Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…