Hawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia.
Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya simenti kumbe inatakiwa 80 tofauti kubwa kabisa na umejipigapiga umeanza ujenzi inaishia katikati...
Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/
Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.
Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU.
PICHA NUMBER 1
PICHA NUMBER 2
Natanguliza shukranii
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
Kilimo-Biashara
-Kilimo biashara ni nini?
Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO...
Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23
Laini za simu
Aprili, 2021 - laini 52,965,816
Aprili, 2022 - Laini 55,365,239
Sawa na ongezeko la 4.5%
Watumiaji wa intaneti
Aprili, 2021 – Watu Milioni 29.1
Aprili, 2022 – Watu Milioni 29.9
Wawa na...
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi .
Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu,
1. LTD - 125,000 tu
2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu
3. kuandika Memorandum....
huduma nyingine ni pamoja na
1. Audit of annual financial statements
2. Monthly VAT Return
3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE
4. Monthly payroll (TRA taxes...
Habari nyingi wakuu.
Tumeanza mwaka na mipango mipya.
Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah.
Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom)
Jiko
Dining
Kitchen
Store
Sitin room
Public toilet...
Hello wakuu mambo vip.
Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza.
Makadirio ya tofali
Makadirio ya mifuko ya cement
NA nondo za lenta ya msingi
Pia na ufundi.
Nyumba ukubwa ni meter 80
Kamjengo nataka kuweka...
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali.
Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.