makadirio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Edward Ole Lekaita akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI 2024/2025

    MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
  2. Martha Mariki akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
  3. MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
  4. Mbunge Esther Malleko akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi a Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9

    MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
  5. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  6. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

    Habari ya asubuhi wakuu?. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa...
  7. Makadirio ya tiles

    Habari zenu! Kwa mafundi au mtu yeyote mwenye uzoefu, naomba kujua nyumba ya vyumba vinne inachukua tiles kiasi gani? Just makadirio.
  8. G

    Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  9. S

    Makadirio ya kenchi na bati

    Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia makadirio ya ujenzi kiujumla ya kumaliza paa. Nawashukuru sana na mbarikiwe.
  10. Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

    Habari ya muda huu, Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki. Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
  11. Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  12. Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: $57 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India: $52.5 trillion ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States: $51.5 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia: $13.7 trillion ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria: $13.1 trillion ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan: $12.3 trillion ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt: $10.4 trillion ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil: $8.7 trillion ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: $8.1 trillion ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง UK: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan...
  13. Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  14. Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  15. Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  16. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
  17. Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024

    Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  18. Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  19. Wataalamu wa ramani, makadirio na ujenzi (experts of buildings design, estimation & construction)

    Je; 1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha) 2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya? 3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ