makala

Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  2. Yericko Nyerere

    Kilichotabiriwa kimetokea? Makala hii nilimwandikia Dkt. Bashiru Mei 30, 2018

    Makala hii nilimwandikia Dkt. Bashiru Mei 30, 2018. Nikimkaribisha katika siasa za CCM, nikamuonya, Bahati mbaya maonyo yangu yalipuuzwa, Jibu amelipata...! _____________ KARIBU KATIKA SIASA CHAFU DKT BASHIRU ALLY, ILINDE AKILI YAKO WAKORA WASIKUPORE, ZINGATIA CCM NI ILEILE. 30 May 2018...
  3. Mbahili

    Makala fikirishi kuhusu ajira nchini

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu, Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika...
  4. Mohamed Said

    Paula Park na Makala ya Ally Sykes

    PAULA PARK ALIPONZWA NA ALLY SYKES 1986 Hayo hapo chini kwa hakika ni ya kale na yanatufunza matatizo yaliyokuwapo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika. Ally Sykes ameacha kumbukumbu nyingi katika historia ya kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Hebu tutembee katika Mtaa wa...
  5. Swahili AI

    Je, kuna makala yoyote ya Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

    Habari wana JF, Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri yakaandaliwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na uzuri zaidi mkewe mama Maria bado yupo anaweza akachangia mengi.
  6. M

    #COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
  7. Cotton pamba

    TBC fanyeni mpango makala za Denis Mpagaze zisikike kwenu

    Habari zenu wana jamvi, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada iliyo nileta hapa. Ni kwa muda sasa nimekuwa nikifwatilia makala zinazoandaliwa na huyu kijana wa kitanzania bwana Denis Mpagaze. Makala hizi kwa wale tuliowahi zitegea sikio, hapana shaka mtakubaliana na mimi kuwa ni...
  8. Dr. Zaganza

    Natafuta Television au YouTube Chaneli inayoweza kuandaa makala za uchunguzi kama Jicho Pevu za Mohamed Ali wa KTN

    Habari wakuu, Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
  9. Dr. Zaganza

    Uzi Maalum: Makala za Utafiti wa Visa Maarufu Vilotokea Tanzania toka 1961 mpaka 2010

    Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na 1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
  10. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
  11. Kichuguu

    Makala Niliyosoma: Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  12. Afrolink-Tz Consult Ltd

    MAKALA: Falsafa ya biashara ili kuleta tija na mafanikio kibiashara

    Falsafa ya biashara ni nini? Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
  13. Naanto Mushi

    Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea

    Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
  14. Bushmamy

    Online yoyote inayohitaji mwandishi wa makala

    Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii. Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane. Asante.
  15. S

    Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

    Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame. Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima. Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa...
  16. Sema Tanzania

    MAKALA: Malezi ~ Shule ya kwanza ya mtoto ni nyumbani

    Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
  17. magnifico

    BBC SWAHILI: Kwanini CCM imeweza kusalia Madarakani kwa miaka yote?

    Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani. Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
  18. Kibosho1

    Hawa ndio wasomaji makala wenye sauti ya mvuto Tanzania

    Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii 3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra. 2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko. 1. Mtiga Abdala...
Back
Top Bottom