makali

Makali P. Aizue (born 1977) is a Papua New Guinean former professional rugby league footballer who last played as a prop for Doncaster in Kingstone Press League 1.

View More On Wikipedia.org
  1. Kimeumana! Wanawake Wachachamaa - Malumbano Makali ya Hoja

    Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume: MWANAMKE: Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na kutetea haki zetu wanawake! Tunayo haki ya kuji-express. Mavazi ni sehemu ya uhuru wa kujieleza, na...
  2. Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  3. F

    Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Habari wadau Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia. Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
  4. Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  5. M

    Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  6. Mwaka 2025 ni mwaka wa mahesabu makali, usiogope

  7. Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

    ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
  8. Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

    https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
  9. Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

    Wakuu habari za humu ndani. Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu. Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
  10. Mazoezi makali ya wanajeshi Tabora kuna nini?

    Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti. MIsururu ya magari yao inakatiza, hii...
  11. Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  12. Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

    Wakuu habari za siku nyingi, Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania. Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo. Sijigambi kwa lolote or Chochote. Dunia ni...
  13. Yanga kufungwa na Azam kumeiongezea umakini na makali

    Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi. Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha...
  14. Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  15. Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  16. U

    Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have โ€œmoved from place to place in just a few days,โ€ the countryโ€™s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  17. M

    Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama. Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye...
  18. Msaada vipele huwa vinakuja na nakupotea na maumivu makali

    picha hapo chini
  19. Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  20. E-mrejesho Haina makali Tena.

    emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo ukajibiwa baada ya mwezi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ