makali

Makali P. Aizue (born 1977) is a Papua New Guinean former professional rugby league footballer who last played as a prop for Doncaster in Kingstone Press League 1.

View More On Wikipedia.org
  1. Chakaza

    Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
  2. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  3. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  4. NESARA1952

    Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  5. Financial Analyst

    Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  6. Mdadamwema.

    Maumivu makali ya masikio

    Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio...
  7. A

    KERO Ubovu wa Barabara ya Kawawa unatupa mateso makali Wananchi wa Goba Matosa

    Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa. Huu ni mwezi wa nne tangu hali iwe mbaya zaidi, kila kiongozi anayekuja kazi yake ni kupiga picha na kuondoka lakini utekelezaji ni...
  8. Pang Fung Mi

    Vyombo vya Dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zoa havitaweza vikiwa vimekatwa makali au kufungwa kwamba

    Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,. Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na...
  9. Expensive life

    Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  10. H

    Mapigano Makali ya Kivita Katika Mji wa Jadotville, Congo 1961

    Habari zenu wana Jf! Leo tupate hii hadithi ya wanajeshi wa Irish huko nchini Congo mwaka 1961. Mwaka 1961, wanajeshi wa Ireland walipata changamoto kubwa huko Jadotville, eneo lililoko chini Congo, wakati wa mgogoro wa kisiasa na kijeshi katika eneo hilo. Hali hiyo ilisababisha mapigano...
  11. Webabu

    Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  12. Dr. Wansegamila

    Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  13. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  14. Melki Wamatukio

    Napitia maumivu makali sana ya moyo

    Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa...
  15. M

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba zitakabiliwa na "matokeo hasi makali" iwapo zitashindwa kukomesha kikamilifu...
  16. N

    Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
  17. benzemah

    Dotto Biteko: Makali ya umeme kupungua 2024

    Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240. - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
  18. The Burning Spear

    Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

    Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi.. Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure. Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
  19. OCC Doctors

    Chukua hatua kwa maumivu makali ya kifua

    Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
  20. Vincenzo Jr

    Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

    Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi
Back
Top Bottom