makamba

  1. K

    Mwambieni January Makamba kuwa kazi ya Uwaziri siyo lelemama

    Nawasalimu sana wanajamvi, Chondechonde kazi ya Uwaziri sio lelemama na hasa kwa nafasi yake. HUKU mikoani umeme hakuna, nchi ipo gizani lakini yeye yupo busy kugawa mitungi midogo ya gesi badala ya yeye kama Waziri wa Nishati kuangalia mambo yenye "impact" kubwa kwa watanzania kama suala la...
  2. J

    Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

    Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The...
  3. K

    Rais Samia anaendelea kuwalambisha asali

    Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
  4. peno hasegawa

    Mitungi ya gesi anaigawa bure January Makamba kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa ni mradi endelevu?

    Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu. Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo? Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM? Je, Makamba ametumwa au...
  5. N

    Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

    Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao! Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akisalimia hali hiyohiyo; Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine...
  6. M

    Bunge lichukue hatua kwa kauli ya kejeli ya Waziri Makamba ya kuita wawakilishi wetu upuuzi mtupu

    Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme. Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
  7. Roving Journalist

    Makamba: Mradi wa umeme wa Rusumo hydropower project kukamilika mwezi Novemba 2022

    'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo...
  8. Carlos The Jackal

    Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

    Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia. Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania. Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!! Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa...
  9. M

    Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  10. Camilo Cienfuegos

    Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

    Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz. Naona kama Mh...
  11. saidoo25

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  12. saidoo25

    Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  13. saidoo25

    Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao. Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu “Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
  14. saidoo25

    Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia. CHANZO: GAZETI LA...
  15. Komeo Lachuma

    Siamini kabisa kwa January Makamba na Nape Nnauye

    Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu. Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo huyu huyu au alinafilishwa? Na wapiga debe walikuwepo humu wa ndani na nje ya chama. Usimwamini...
  16. peno hasegawa

    Waziri January Makamba, kuna fedha za miradi mipya ya umeme zimepitishwa bajeti 2022/2023 kwa kila Tanesco mikoa. Fedha hizo zifike mkoani mapema

    January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee. Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023. Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
  17. P

    Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  18. Midimay

    Salome Makamba umejiweka uchi suala la Loliondo

    Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha. Sendeka alichangia kuhusu mapori tengefu na mapori ya akiba lakini yeye akajaribu kumkosoa Sendeka au kumshambulia kwa kutumia mgogoro wa...
  19. Suzy Elias

    Ukweli ni kwamba January Makamba ana dharau!

    Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo! Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo. Kwa dharau zake sioni ni kwa namna ipi ataepuka nongwa na mashambulio kutoka kwa wawakilishi wenzake. Wabunge wengi...
  20. kmbwembwe

    Cha kushangaza eti January Makamba ndio kaonekana wa kuongoza majadiliano magumu ya uwekezaji wa gesi nchini

    Ninavyoelewa majadiliano kuhusu uwekezaji wa kujenga kiwanda cha kuchakata gesi kupata NLG yalikua hayaendi haraka kwa sababu ya kuhakikisha uwekezaji unakua na faida kwa pande zote. Tofauti na awamu zingine awamu ya 5 iliweka sheria mpya za uwekezaji ili kuhakikisha pande zote nchi na...
Back
Top Bottom