makamba

  1. Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  2. Makamba: Bei ya umeme haijapanda

    Akijibu swali bungeni hivi leo asubuhi amesema taarifa zinazo zagaa mitandaoni kuhusu kupanda gharama za umeme ni potofu na zina faa kupuuzwa. ==== Serikali imewataka wananchi kupuuza taarifa za kwamba bei ya umeme imepanda nchini. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 9, 2022 na Waziri wa Nishati...
  3. R

    Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  4. Uzembe wa January Makamba umesababisha sasa Migodi kuvujisha sumu maeneo mengi hapa nchini

    Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi. Hii ni ngumu sana. Chanzo na tatizo ni January alipokuwa ofisi ya Makamu wa rais Mazingira. Hapa...
  5. January Makamba mnyonge mnyongene, haki yake mpeni

    Kufuatia mawasilisho ya watu mbalimbali kumhusu Mheshimiwa huyu, nililazimika kufuatilia kila hatua anayokanyaga katika jukumu lake katika Wizara nyeti anayohudumu. Pia, nilisubiri kwa hamu kubwa kuona wasilisho lake la bajeti. Hakika ya moyo wangu, nimejiridhisha kuwa Mama hakukosea kwa huyu...
  6. Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Trilioni 2.9: Gridi ya taifa kufika Kigoma na Katavi kabla ya Oktoba 2022

    Salaam, MWANZO 1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari. 2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza. 3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa. Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa...
  7. Waziri Makamba: Hatujafanya uwekezaji, Miundombinu ya Umeme imechakaa na Gridi ya Taifa imezidiwa

    Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi. Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia...
  8. Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  9. Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

    Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
  10. Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kichwa cha habari chajieleza.. Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa.. Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia.. Sasa hivi...
  11. C

    Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  12. Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  13. Nampongeza Waziri Bashungwa, Makamba na Masauni igeni

    Nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa kwa hatua aliyochukua kuhusu kero ya maegesho ya gari toka Tarura walipojikita na mfumo wao. Ni kweli Tarura walifikia hatua ya kujisahau kazi yao ya msingi na kuamua toza tozo za maegesho ndiyo maana hata kero walikuwa hawajali...
  14. Huenda January Makamba ana gundu

    Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?! Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?! Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa. Huenda analo...
  15. Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  16. F

    Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

    Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
  17. Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  18. Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

    Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco. Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi. Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
  19. Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  20. Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…